Leo Julai 11 ni siku ya kimataifa ya idadi ya watu duniani, maudhui yakimulika ujengeaji uwezo ili waweze kutimiza matarajio na mipango yao ya baadaye ikiwemo kuwa na familia. Katibu Mkuu wa Umoja wa ...
Je wafahamu kuhusu mali zisizoshika? Hizi ni rasilimali ambazo hazina umbo la kimwili lakini zina thamani ya muda mrefu kwa kampuni au taasisi. Mifano yake ni hakimiliki za uvumbuzi, alama za biashara ...